qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,382
hivi unaruhusiwa ku-apply more than one position? au
Apply moja tu hawaruhusu kuomba nafazi zaid ya 1
hivi unaruhusiwa ku-apply more than one position? au
kuna jamaa zangu watatu walifanya interview zote mwaka juzi wakakosa, juzi ndo wamepigiwa wakaanze kazi!
Barua ya field tayari nimepeleka ila ndo kwa sis tusieshikwa mkono tunapata tabu kweli mara Barua hazijashuhulikiwa mara daaahhh tena akadai hapa kama hujashikwa mkon peleka barua yako sehem nyingine,, yan maneno kibao mpk unakata tamaa
Age not above 30
hakika...kamwe watoza ushuru hawataiona pepo