Nafasi za kazi Halmashauri ya mji Nanyamba

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
4,432
1,387
1596007673852.png

1596007695037.png
 
Hivi ukiomba kazi kwenye usahili wanawapigia simu au inakuwaje ili kujua kama umeitwa kwenye usahili, au unatakiwa ukishatuma ndio uwe unafuatilia kwenye website yao kila Mara? Msaada tafadhali.

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Huwa Wanabandika majina ya walioitwa kwenye usahili kwenye mbao za matangazo za halmashaur na kwenye web zao
 
Hili tangazo kumbe lilikuwa ni lamwaka Jana, duuh moods mmetuingiza chaka aisee kwa tulioomba tena zile nafasi
 
Back
Top Bottom