Nafasi za kazi EWURA

Nafasi za kazi EWURA

Atlantis

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
383
Reaction score
514
katika pitapita zangu nimekutana na hili tangazo la nafasi za kazi kadhaa EWURA. mwisho wa kutuma maombi ni Novemba. Sasa sijui kama ni la kweli, kama kuna mtu anaweza kuliauthenticate itakua vema
6057389b157df7f9a06a5571604c9a58.jpg

873ef76c22ab4bf851ef508cfb86a8e3.jpg
 

Attachments

  • 1477930655097.png
    1477930655097.png
    18 KB · Views: 91
Jumla ni nafasi mbalimbali 41 kama sikosei karibuni kwenye serikali ya the best president ever kwa mtakao bahatika ila bila kuja na uaminifu unaweza kurudi huko

Zama zimebadillika sasa hivi
 
Tatizo nafasi zenyewe utakuta tayari watoto au ndugu wa maboss wameshawekewa so mtu unaishia kichezea hela yako!" watu wanaroho mbaya sana.
Hivi mkuu mtu mwenye ordinary diploma ya account anaweza akaomba hyo nafas ya assistant accountant na akapata? maan hizo kazi anazimudu kabisa na hapo wameweka entry qualification ni adv dip or degree
 
Hivi mkuu mtu mwenye ordinary diploma ya account anaweza akaomba hyo nafas ya assistanperformancant na akapata? maan hizo kazi anazimudu kabisa na hapo wameweka entry qualification ni adv dip or degree
Wewe omba mkuu....maadam kama kazi unaziweza omba....ila sema waswahili tunaangalia saana vyeti ambavyo wala havina uhusiano wa karibu na performan
 
Hivi mkuu mtu mwenye ordinary diploma ya account anaweza akaomba hyo nafas ya assistant accountant na akapata? maan hizo kazi anazimudu kabisa na hapo wameweka entry qualification ni adv dip or degree

Sizani kama unaweza kuwa shortlisted.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom