Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 993
Sizani kama unaweza kuwa shortlisted.

Sizani kama unaweza kuwa shortlisted.

Lipo kwenye tovuti la ewura, njoo tukapambane kwenye hilo nafasi 1
Email au Kwa mkono pale JMOL katibu na station kuelekea posta mpya...kuna chumba imetengwa maalum kupokea bahasha make zitakua nyingi kupita kiasimkuu maombi unatuma kwa njia ipi?
Jmall??Email au Kwa mkono pale JMOL katibu na station kuelekea posta mpya...kuna chumba imetengwa maalum kupokea bahasha make zitakua nyingi kupita kiasi
Email au Kwa mkono pale JMOL katibu na station kuelekea posta mpya...kuna chumba imetengwa maalum kupokea bahasha make zitakua nyingi kupita kiasi
katika pitapita zangu nimekutana na hili tangazo la nafasi za kazi kadhaa EWURA. mwisho wa kutuma maombi ni Novemba. Sasa sijui kama ni la kweli, kama kuna mtu anaweza kuliauthenticate itakua vema![]()
![]()
Email au Kwa mkono pale JMOL katibu na station kuelekea posta mpya...kuna chumba imetengwa maalum kupokea bahasha make zitakua nyingi kupita kiasi
Email au Kwa mkono pale JMOL katibu na station kuelekea posta mpya...kuna chumba imetengwa maalum kupokea bahasha make zitakua nyingi kupita kiasi
mkuu kama upo mkoa unaweza tumia email au posta japo la email hr wengine ni wazembe sana. kama upo Dar nenda karibu na chuo cha TANESCO Steshini ulizia jengo la JMall, ukifika jmall ground floor kuna board inaonesha floor ambapo ofisi za EWURA zilipo...panda lift ukiiingia hiyo floor kulia kwako ndo ofisi japo mlango kufunguliwa ni technologia flan utumika.mkuu naomba unielekeze vizuri mahali jengo lilipo na nikifika niulizie kwa jina lipi?
Soma mwanzo wa tangazo pale ufahamu ewura ni nini ndio utafahamu kama inahusika na uhakiki au la.Uhakiki umeisha sio?
Achen kupotosha watu, jmall ewura walishahama tangu mwaka jana, ewura wako jengo la LAPF, mue mnafata kilichoandikwa kwenye matangazo ya kazi.mkuu kama upo mkoa unaweza tumia email au posta japo la email hr wengine ni wazembe sana. kama upo Dar nenda karibu na chuo cha TANESCO Steshini ulizia jengo la JMall, ukifika jmall ground floor kuna board inaonesha floor ambapo ofisi za EWURA zilipo...panda lift ukiiingia hiyo floor kulia kwako ndo ofisi japo mlango kufunguliwa ni technologia flan utumika.