Nafasi za kazi Airtel

pasua anga

Member
Jan 7, 2017
26
13
Uongozi wa airtel singida unawatangazia nafasi za kazi za mauzo kwa vijana wote wenye umri wa miaka 18 na kuendelea..

vigezo

*awe amehitimu darasa la Saba na kuendelea

*ajue kusoma na kuandika

*awe mchapa kazi, mwenye kujituma na mwaminifu..

Kwa mawasiliano zaid piga simu namba 0688319646 au 0787681248

Wahi nafasi ni chache
 
*Vuta picha umelala mida ya alfajiri hivi... Usingizi ule wa kukesha jana yake, halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi. Ile unaamka na hasira zako kwenda kumfungulia unajikwaa kidole cha mwisho cha mguu ktk kona ya kitanda ile ndiiii.. kugeuka unaparamia ndoo za maji yanamwagika. mara unateleza ktk yale maji unaangukia meza unaangusha tv, deki na wewe chini mara waya wa umeme unakupiga short mgongoni, unafika mlangoni na maumivu ya kidole + uchovu + hasira + hasara na short juu unakutana na jamaa anakwambia nasajili line za Airtel!*

*Hapa ndo utaelewa maana ya ule msemo hasira hasara
 
mbavu zangu
 
VIJANA WA KITANZANIA TUNA SAFALI NDEFU SANA YA KWENDA.

HIVI INAKUWAJE KIJANA USIYEKUWA NA AJIRA UNAWAPONDA VIJANA WENYE AJIRA YAO RASMI AMBAYO WANAIFANYA ANGALAU IWAWEZESHA KUPATA HATA KIPATO KIDOGO ILI MRADI WASIWE TEGEMEZI NA MIZIGO .
KWA WATU .

NILICHOKIGUNDUA VIJANA WENGI WALIOWAPONDA WAUZAJI NA WANAOSAJILI LINE WENGI BADO NI TEGEMEZI ILA KUNA WAKATI UKIFIKIA MAISHA YAMEKUPIGA NA HUNA WA KUMTEGEMEA NA ULIZOEA KUTEMEA HAPO NDIPO UTAJUA NI KWANINI WATU WANANGAIKA NA MAISHA HADI WANAFIKA HATUA WANAFANYA KAZI ZA AJABU NA ZINAZOWAFANYA WADHALAULIKE JAMII
 
yaani zile nafasi za accountant,customer care,it,finance,hrm,procuement hazitangazwiiii

ila zile nafasi za watu kuuza line ndio zinatangazwa nyii watu mna dhambi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom