Nafasi za kazi, Afisa Mauzo

Nafasi za kazi, Afisa Mauzo

mi nina bodaboda! mpyaaaaaa, vp naruhusiwa kuapply ..........

Grand PA
 
Tutolee ushuzi wako hapa mmezidi kunyonya watu nyie kisa wana shida ya kazi
 
Yaani nikiwaangalia vijana jinsi ambavyo mnaufikiria ulimwengu wa ajira nachoka kabisa.

Kiufupi, makampuni machache sana bado yanaajiri dereva na secretary. Yaani hadi MD anajiendesha, na kunakuwa na admin assistant ambae sio secretary wa yeyote. Na wenzio tunalilia tusitumie gari ya kampuni ili walau tansport allowance itutoe yaani! I wish i had a baby mind like yours aisee
kwanza LIPIA KODI YA GARI langu.
pili LIPIA DEREVA.
tatu MLIPE SALESMAN
....achani ujanja nyie
 
Back
Top Bottom