O Ommylady Member Joined Dec 3, 2013 Posts 23 Reaction score 4 Jun 10, 2014 #1 Kampuni ya ABS inatangaza nafasi za kazi ya kusambaza vyombo, mshahara ni laki mbili kwa mwezi na posho elfu sita kwa siku. MAWASILIANO 0718751075
Kampuni ya ABS inatangaza nafasi za kazi ya kusambaza vyombo, mshahara ni laki mbili kwa mwezi na posho elfu sita kwa siku. MAWASILIANO 0718751075
shegacool2015 JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 394 Reaction score 133 Jun 10, 2014 #2 Vyombo aina gani?brand
DIUNATION JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,629 Reaction score 1,788 Jun 10, 2014 #3 Wanasema tusichague kazi ila kwa hii mhhhh napita tu ngoja wajaribu wengine.
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,711 Reaction score 4,230 Jun 11, 2014 #4 kusambaza kwa kuuza au kupeleka tu sehemu mbalimbali? Ninavyojua kazi hii kama ni ya kuuza malipo yake lazima yatokane na mauzo so lazma kuwe na target fulani
kusambaza kwa kuuza au kupeleka tu sehemu mbalimbali? Ninavyojua kazi hii kama ni ya kuuza malipo yake lazima yatokane na mauzo so lazma kuwe na target fulani
Niwemugizi JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 902 Reaction score 462 Jun 11, 2014 #5 Ommylady said: Kampuni ya ABS inatangaza nafasi za kazi ya kusambaza vyombo, mshahara ni laki mbili kwa mwezi na posho elfu sita kwa siku. MAWASILIANO 0718751075 Click to expand... Kampuni tena jamani kusambaza vyombo
Ommylady said: Kampuni ya ABS inatangaza nafasi za kazi ya kusambaza vyombo, mshahara ni laki mbili kwa mwezi na posho elfu sita kwa siku. MAWASILIANO 0718751075 Click to expand... Kampuni tena jamani kusambaza vyombo