Nafasi za kazi 58 Yapi Markezi

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,106
Reaction score
110,845
Haya kwa wenye uhitaji wa ajira mkuje mtume CV zenu, pia kwa ambao watahitaji msaada wa jinsi ya kuandika CV mseme tuwasaidie.

Alafu, nawakumbusha waombaji ambao bado hawana CV zilizo ene, msisahau kucount in those days mlipo kuwa field.

 
Vibarua hawataki?
Nifundishe namna ya kuandika cv mkuu
 
Shida ya hii kampuni malalamiko ya kutolipwa mishahara ni mengi sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…