Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

mi kila sifa nimekidhi kasoro ya cheti cha jkt na sababu ni kipindi namaliza form 6 (mwaka 2015) walitoa majina baadhi na baadhi yetu hatukupangiwa vituo vya jkt mpaka tunajiunga na vyuo na kuhitimu.

Hii sijuh imekaaje? Imeniweka njia panda!!
Baba mbona ungejipeleka Ata wasingekukataa? SEMA inaonekana tangu mwanzo aukulipenda jeshi ndomaanaa aukuenda, lakini ungelipenda basi ungejipeleka nawangekupokea kwa furaha na vifijo adi kumaliza kozi
 
wana group lao kule Telegram wanasutana kwa kupeana possible sizo . huku uwaoni.

20220108_142946.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom