Nafasi za Kazi 25 JamiiForums - mwisho wa kutuma maombi ni Julai 27, 2019

Nashauri. Kwanza Muajiriwa lazima awe na ID yenye Minimum 2 years, na Pili Post zake zijadiliqe ili kupima utashi wa mtu

Kama wakifuatisha hivi unavyotaka Wewe hapa huenda wasimpate Mtu Mkuu. Cha Msingi tu tuwaachie Wao na Utaratibu waliouweka au waliouandaa.
 
Mkuu inamana huko kwa mabeberu hakuna kazi mpaka ukomae na hizi kazi za huku mavumbini?
Mtu mwingine anaweza kufanya kazi kwa sababu ya hobby tu. Kwa mfano kuna watu wako marekani ila ni wanazi wa jf. Haina maana kwamba huko hakuna social medias
 
Niwe mkweli..hata wangekua wanalipa 3m sitataka ajira kamwe!...ila ningekuwa mod mm jaman mccm yyt yule nampa ban ya mwezi..au nakuwa nafuta comments zao..au naedit mbayaaa..arghhhh!

ww apply maa!
Nakukubali Dada ake!

Mimi pia sikuhizi nafikiria zaidi kutengeneza ajira na fursa nyingi kwa vijana wenzangu.

Million 3 akulipe nani sasa hivi Dada angu;
Kampuni na taasisi nyingi wanalipana hela za kula tu. Wengi wanatumia wingi wa wasomi kama fimbo yao, ukikataa wewe wenzako wanakuja wanachukua icho ulicho kataa

Ila shukrani nyingi kwa jamii forum; naamini safari za baadhi katika kufunguliwa dunia zitaanzia hapa.
 
Kuna boss mmoja alikuwa mtu akilalamika kuhusu maslahi ya kazi anampeleka ofisini na kumuonyesha rundo la bahasha za watu waliotuma CV
 
Kuna boss mmoja alikuwa mtu akilalamika kuhusu maslahi ya kazi anampeleka ofisini na kumuonyesha rundo la bahasha za watu waliotuma CV
Aisee; lazima ukubali tu maana ukikataa mwenzako mwenye elimu sawa anakuja anachukua icho ambacho wewe umekikataa.

Waajiri wengi sasa hivi mishahara yao wanayatoa ni midogo sana; ukijumlisha na kodi za maghufuli unaona bora utafute njia mbadala za kufanya haya maisha ya songe.

Yana watu wana shahada zao lakini sasa mishahara ni mwendo wa 300k 350k kwa mwezi
 
Yaani acha kabisa
 
Ni bora haya matangazo mkayweka kwenye forums za UK ama USA, kisha mkaajiri wazungu.

Lakini ni upotofu, matangazo yote kutumia lugha ya kigeni, wakati wanaosoma hayo matangazo si wote wanaojua hiyo lugha.

Vipi kama kuna mtu anandugu yake, ila yeye haijui lugha iliotumika, huoni atashindwa kumpa taarifa ya tangazo la kazi?

Kibaya zaidi, mnaandika kinge, usaili mnatumia kiswahili, ofisini wanabonga kiswahili.

Mwenye sifa za kuajiriwa akisoma kiswahili, hawezi shindwa fanya kazi.
Lugha yako haijitoshelezi. Usitake kulazimisha mambo.
 
Eti wadau hizi nafasi mbona hawajaweka qualifications mfano waliosoma accounting, procurement, marketing, statistics, finance na n.k wanaweza wakaomba au inakuwaje?
 
Hii ni fursa kubwa sana... Binafsi mimi ni mpenzi mkubwa sana na ni mfatiliaji wa social media... Am in.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom