Nafasi za Kazi 25 JamiiForums - mwisho wa kutuma maombi ni Julai 27, 2019

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
4,438
1,387
JamiiForums imetangaza Kazi 9 zinazohitaji wafanyakazi 25. Mwisho wa kutuma maombi ni Julai 27.

Unaruhusiwa kuomba nafasi MOJA TU kati ya hizi.

Content Production Manager

Content Monitoring and Evaluation Manager

Content Quality Controllers (2)

Content Managers/Moderators (6)

Social Media Engagers (4)

Transcribers (2)

Administrative Assistant

Interns (4)

Research Assistants (4)

Ni bora haya matangazo mkayweka kwenye forums za UK ama USA, kisha mkaajiri wazungu.

Lakini ni upotofu, matangazo yote kutumia lugha ya kigeni, wakati wanaosoma hayo matangazo si wote wanaojua hiyo lugha.

Vipi kama kuna mtu anandugu yake, ila yeye haijui lugha iliotumika, huoni atashindwa kumpa taarifa ya tangazo la kazi?

Kibaya zaidi, mnaandika kinge, usaili mnatumia kiswahili, ofisini wanabonga kiswahili.

Mwenye sifa za kuajiriwa akisoma kiswahili, hawezi shindwa fanya kazi.
 
Kudo,

Kazi zetu lugha za msingi ni mbili (Kiswahili na Kiingereza). Tumekuwa tukiajiri watendaji bila kujalisha Kiingereza chao ni fasaha, na imekuwa ikiwapa shida katika uwasilishaji wa kazi zao inapotakiwa iwe kwa Kiingereza. Hilo limepelekea, wale ambao wanajua kuwasaidia hivyo kumaanisha mtu mwingine anamfanyia kazi. It is NOT productive.

Hivyo kujua Kiingereza ni moja ya Hitaji mhimu maana tunafanya maandiko na research nyingi tukishirikiana na nchi jirani na za kimataifa. Kiswahili pekee haitoshi.

Muombaji akisoma akashindwa kuelewa tangazo tokana na lugha, tunashauri asiombe. Aache tu.

Ni bora haya matangazo mkayweka kwenye forums za UK ama USA, kisha mkaajiri wazungu.

Lakini ni upotofu, matangazo yote kutumia lugha ya kigeni, wakati wanaosoma hayo matangazo si wote wanaojua hiyo lugha.

Vipi kama kuna mtu anandugu yake, ila yeye haijui lugha iliotumika, huoni atashindwa kumpa taarifa ya tangazo la kazi?

Kibaya zaidi, mnaandika kinge, usaili mnatumia kiswahili, ofisini wanabonga kiswahili.

Mwenye sifa za kuajiriwa akisoma kiswahili, hawezi shindwa fanya kazi.
 
Ni bora haya matangazo mkayweka kwenye forums za UK ama USA, kisha mkaajiri wazungu.

Lakini ni upotofu, matangazo yote kutumia lugha ya kigeni, wakati wanaosoma hayo matangazo si wote wanaojua hiyo lugha.

Vipi kama kuna mtu anandugu yake, ila yeye haijui lugha iliotumika, huoni atashindwa kumpa taarifa ya tangazo la kazi?

Kibaya zaidi, mnaandika kinge, usaili mnatumia kiswahili, ofisini wanabonga kiswahili.

Mwenye sifa za kuajiriwa akisoma kiswahili, hawezi shindwa fanya kazi.
Ni kweli kabisa,Bwana melo atukumbuke na sie tusiojua lugha ya malikia kwani Jamiiforum ni ya watu wote
 
mbona hawajaweka Dau kwa kila nafasi inayoombwa. Hiyo ingeshawishi watu kuamua vizuri kufuatilia kazi hizo. Ushauri waweke na Dau.
 
Ni bora haya matangazo mkayweka kwenye forums za UK ama USA, kisha mkaajiri wazungu.

Lakini ni upotofu, matangazo yote kutumia lugha ya kigeni, wakati wanaosoma hayo matangazo si wote wanaojua hiyo lugha.

Vipi kama kuna mtu anandugu yake, ila yeye haijui lugha iliotumika, huoni atashindwa kumpa taarifa ya tangazo la kazi?

Kibaya zaidi, mnaandika kinge, usaili mnatumia kiswahili, ofisini wanabonga kiswahili.

Mwenye sifa za kuajiriwa akisoma kiswahili, hawezi shindwa fanya kazi.
Mbona serikali yako inayojnasibu kuwa kiswahili ni lugha ya taifa matangazo yake ya ajira mengi ni ya kidhungu bt hulalamiki ,iweje leo iwalalamikie hawa jf?
 
Ni bora haya matangazo mkayweka kwenye forums za UK ama USA, kisha mkaajiri wazungu.

Lakini ni upotofu, matangazo yote kutumia lugha ya kigeni, wakati wanaosoma hayo matangazo si wote wanaojua hiyo lugha.

Vipi kama kuna mtu anandugu yake, ila yeye haijui lugha iliotumika, huoni atashindwa kumpa taarifa ya tangazo la kazi?

Kibaya zaidi, mnaandika kinge, usaili mnatumia kiswahili, ofisini wanabonga kiswahili.

Mwenye sifa za kuajiriwa akisoma kiswahili, hawezi shindwa fanya kazi.
Kuna mada zingine huwa zinachanganywa lugha yaani mtu anaandika kiswahili lkn humohumo anaingizia na maneno ya kiingereza.
Sasa Kama hujui kiingereza kwa vyovyote hizo kazi huziwezi na hazikufai.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom