Mimi ni mtunzi wa kitabu cha siri ya ukombozi ya mjasiriamali kilichoko madukani sasa, nahitaji watu 10 ikiwa jinsia ya kike 5 na kiume 5 kwa ajiri ya kusimamia usambazaji kitabu hicho jijini dar es salaam.
awe mtu unayependa kujituma, mbunifu na mwenye uwezo wa kushawishi (sales skills).
kazi hii inaweza kudumu kwa muda wa mwezi mmoja.
tafadhali wasiliana sasa na mr. kwanama 0712 066 064 au 0753 12 54 74 e-mail: kwanamas@yahoo.com