kwa kifupi ni kuwa jwtz hawataajiri kwa mwaka huu wa fedha mpaka mwaka ujao wa fedha, hamjackia kuwa serikali ina ukata wa fedha? so jeshi kuanzia july mwaka huu ndo muanze kutolea macho. Cha msingi muandae 2 vyeti vyenu fresh cz jamaa mchujo wao hawana masihala, ukiwa huna living certificate tu unapigwa chini, wa2 huwa ni wengi sanaa so wana mbinu zao za kuwapunguza, ikiwemo kuwaboa au kuwachelewesha pasipo na sababu za msingi, mfano mnaweza mkaambiwa mripoti pale lugalo saa 2 asubuhi thn wasiwaambie chochote mpaka saa 10 jioni, so m2 mvumilivu ndo huwa anapita usaili na kwenda depo ambako kuna shughuli ya kufa m2, thn uende Tanzania Military Academy(TMA) Monduli ukatafute nyota, huko nako balaa lake ucpime ni mwendo wa mazoezi makali + pepa kila wiki, ukifeli unarudi kikosini kuwa askari wa kawaida. So 2jiandae kwa yote hayo ambao 2nataka kuwa maafisa wa jeshi.