Nafasi za JKT

Nafasi za JKT

mbwa mzee

Senior Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
126
Reaction score
9
Jamani kwa msaada anayejua nafasi za JKT zinatoka lini anisaidie nijue lini zinatoka nataka niingie ndani ya hicho chombo.
 
Jaman let us be serious,mwenzenu kauliza nafasi za jkt zinatoka lini,ni issue ya kumjibu zinatoka lini ma wala sio kejeri za ajabu.....
 
Jamani kwa msaada anayejua nafasi za JKT zinatoka lini anisaidie nijue lini zinatoka nataka niingie ndani ya hicho chombo.

Mambo yasipobadilika

Wanaingia kuanzia mwezi wa tatu ndugu

Wa pili harakati zinaanza
 
may be mapema mwakani brazaa kwa mwaka 2015 tayari vijana wanamaliza mafunzo ya awali
 
jkt huwa wanaenda binadamu.. Labda upate nafasi kama id yako ili ukale mafunzo ya kutegua mabomu.
 
Back
Top Bottom