Hongera kwa usomi wako ,kwa masters yako ya uchumi ukibahatika kuingia jeshin ,utaenda kusoma TMA yaani tanzania military academy ,utapata nyota moja yaani luteni usu ,baada ya miezi sita utapewa nyota ya pili yaani luteni ,then nyota ya tatu yani captain,, kama una masters ya uhandisi na fani za sayansi utapata cheo cha meja ,