Samirah77
Member
- Mar 17, 2024
- 25
- 42
Jamani niende direct kwenye mada juzi juzi hapa Tareh 31 March zilitoka nafasi za internship crdb bank ila mpk kufika Tareh 3 wakafunga jaman mimi nilijitahid kufanya application Lakin shida imekuja nmeandikiwa automatic disqualified kwa walioapply wengne jaman mkiangalia status ya application zenu zimekaaje?? Na saivi ukijaribu kulog in inakataa
