Nafasi za G4S secure solution, mwanza zamwagwa

mzee wa giningi

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
519
336
Kampuni ya G4S secure solution kanda ya ziwa inatangaza nafasi za kazi 230 kwenye ulinzi wa migodini migodi hiyo ni north Mara gold mine, buzwagi gold mine, geita gold mine, na bulyanhulu gold mine, sifa uwe umemaliza kidato cha nne na kufaulu, Au form six, degree, nk
 
Nikusaidiaje labda kampuni ikufate kwenu?? Kama unataka kazi fika mwanza
Acha dharau mshikaji watu wanataka details za kueleweka kwani nijuavyo g4s sio kampuni ya kihuni huni tu, lazima kama kuna kazi tangazo litakuwa official display on the board, sasa unapoleta tangazo kienyeji hivi unakosea JF ni sehemu ya watu makini... Ni hayo tu.
 
Hii ndo kazi pekee walioitangaza G4S sasa sijui mleta mada kaokota wapi hiyo habari yake

IMG_20170515_135103_694.jpg
IMG_20170515_135120_836.jpg
 
Acha dharau mshikaji watu wanataka details za kueleweka kwani nijuavyo g4s sio kampuni ya kihuni huni tu, lazima kama kuna kazi tangazo litakuwa official display on the board, sasa unapoleta tangazo kienyeji hivi unakosea JF ni sehemu ya watu makini... Ni hayo tu.
Halafu kakimbia
 
Back
Top Bottom