Nafasi ya urais na ukabila

Nafasi ya urais na ukabila

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,649
Reaction score
5,074
Najaribu kuwaza faida na hasara za kuwa na rais anayetoka katika kabila lenye idadi ndogo ya watu na yule anayetoka ktk idadi kubwa.

Tukianzia na historia ya nchi yetu na mahali pengine popote pale duniani. Ni kwa namna gani utendaji unaweza kuathirika hasa kuyafikia matarajio ya wananchi husika.

Angalizo; haina uhusiano wowote ule na kuleta ukabila kwa jamii yetu.
 
Naskia huyu wa sasa ni mnyarwanda et ndo maana warwanda ni wengi hadi wapo kwenye usalama wa taifa
 
Kweli Watanzania tuna IQ ndogo, kabila la Rais litayusaidia nini HATA tukilijua?

Kuwa kabila kubwa au dogo siyo tatizo, tatizo ni kuendekeza ukabila akiwa madarakani. Tujadili mambo ya msingi ili Jukwaa liwe na Tija kwa Viongozi wanaoingia humu na Watanzania kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom