Nafasi ya Tutorial Assistant

Sifahamu kwa kweli. Pengine jaribu kutembelea websites za balozi mbalimbali. Pia tembelea websites za mashirika ya fani yako yanayofanya kazi Tanzania.
Nitajitahidi Katika Hilo ndugu.
 
Tembelea PSRS kuna tangazo la nafas moja ya tutor chuo fulan hivi arusha...mwl wa linguistic. Mwisho wa maombi 17th- feb
Nimeziona mkuu,
Nimeishia kuzitamani Tu.

Miye ni Kiswahili & Linguistics.
 



Mhm ''NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK'' ''slides and article aziwezi kukusaidia'' namaanisha kwamba auna details za unachokiandika and that's why unamkatisha jamaa tamaa, inaonesha you know nothing abt tcu cut point kwa mtu ku qualify kuwa lecture.
1. TCU cut point ni 3.5 but universities wana uhuru wakueka zaidi ya 3.5
2. Most of institutions wanaweka 3.8 to reduce competition
 
Nadhani umesahau kidogo kiongozi. Mwanzoni vyuo vya serikali vingine ilikua ni lazma uwe na angalau GPA ya 3.8 ya undergraduate ila kwa sasa (kama sijakosea ni kupitia tangazo la wizara la mwanzoni kabisa mwaka huu) masharti yalirahisishwa hadi kuwakubali wa kuanzia GPA ya 3.5
 
Hili siliungi mkono kwa maana kwenye post za ukufunzi kinachoozingatiwa ni uwezo wako binafsi wa ku'deliver. Endapo umekidhi vile vigezo vya awali na ukaitwa interview, basi chance ya kila mmoja huko mbele itaamuliwa kwa uwezo binafsi wa kuishawishi panel ya interview.
 
ulishaona kwenye interview wanafanya hio kitu inaitwa uwezo wa kufundisha?. Chuo hutumia GPA kama kigezo cha uwezo wa mwanafunzi. Zamani ilikuwa mwenye GPA kubwa ndo wanabaki kufundisha ila serikali ikaleta utaratibu wa interview na hii desturi ya kuangalia GPA bado inafanyika na pia chuo ulichosoma kina score kubwa sana kwenye nafasi hizi. Hii naongea from experience sio nakisia. GPA ya 4.4 ya udom ni tofauti kabisa na 4.4 ya UDSM, in terms of weighting. usiniulize kwa nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…