Nafasi ya Tanzania Worldcup 2014

Ibra Mo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
793
101
Tanzania itaanza kuitafuta nafasi yakucheza Fainali za World cup 2014 kwakucheza na Chad tukipita hapo tutaingia kwenye kundi litakalo zijumuisha:SUDAN,MORROCO,GAMBIA,IVORYCOAST.kazi kwa Paulsen.
 
hapana mbona according to bbc draw ni kama hivi??
Group C: Cote d'Ivoire, Morocco, Gambia, Chad or Tanzania
 
Tanzania itaanza kuitafuta nafasi yakucheza Fainali za World cup 2014 kwakucheza na Chad,tukishinda tutakutana na mshindi kati ya Lesotho na Burundi,tukipita hapo tutaingia kwenye kundi"D"litakalo zijumuisha:SUDAN,MORROCO,na GHANA.kazi kwa Paulsen.

Sio kweli mkuu, tunacheza na Chad tukishinda tutakuwa kundi C na Ivory Coast, Morocco na Gambia
 
Sio kweli mkuu, tunacheza na Chad tukishinda tutakuwa kundi C na Ivory Coast, Morocco na Gambia
<br />
<br />
Nikweli wangu nimefuatilia nikaona kuna makosa niliyoyafanya na tayari nimeshafanya Editing.
 
<br />
<br />
Nikweli wangu nimefuatilia nikaona kuna makosa niliyoyafanya na tayari nimeshafanya Editing.

Bado umeweka Sudan hapo, Sudan haipo kundi C angalia makundi ya Afrika hapa chini
Group A: South Africa, Botswana, Central African Republic, Somalia or Ethiopia
Group B: Tunisia, Cape Verde Islands, Sierra Leone, Equatorial Guinea or Madagascar
Group C: Cote d'Ivoire, Morocco, Gambia, Chad or Tanzania
Group D: Ghana, Zambia, Sudan, Lesotho or Burundi
Group E: Burkina Faso, Gabon, Niger, Sao Tome e Principe or Congo
Group F: Nigeria, Malawi, Seychelles or Kenya, Djibouti or Namibia
Group G: Egypt, Guinea, Zimbabwe, Comoros or Mozambique
Group H: Algeria, Mali, Benin, Eritrea or Rwanda
Group I: Cameroon, Libya, Guinea-Bissau or Togo, Swaziland or Congo DR
Group J: Senegal, Uganda, Angola, Mauritius or Liberia
 
TFF wakitaka Taifa star icheze world cup wanaweza na ni kazi raisi sana.Jiulize swali moja tuu. Taifa star ikiingia kucheza katika ligi kuu ya uingereza itakuwa katika nafasi za juu au za chini katika points. HIvyo ina maana wachezaji wazuri tunao ila kocha lazima awe na uwezo wa kufundisha kitimu kucheza daraja la kwanza ulaya au marekani ya kusini. Huu mfumo wa 3-3-3-1 kiuchezaji kama timu yetu ya taifa ikifundishwa na kocha mzuri, kweli tutafika mbali sana. Yaa ni unakuwa na midfielders watatu wa kukaba nyuma ya mchezaji adui na midfilders watatu wa kukaba mbele ya adui. Ona mchezo wa barcelona na ule wa timu ya Santosh ya Brazil. Utawaona kila mara wao wanamiliki mpira na wananya'ang'ampira kirahisi. Hivyo kisomo cha palsen, hakitatupeleka kifua mbele mbele ya Ivory Cost na Moroco na Gambia. Wachezaji wa taifa stars wazuri sana wenye vipaji, ila tutabakia kujiona hatujui mpira kumbe tunajua.
 
kweli tumeisha,sisi,DRC,Congo,Mozambique na Kenya,yaani kwenda kwenye makundi tunaanzia kwanza mchangani au hatua ya awali mtoano.Ila DRC nashangaa maana klabu yao TP Mazembe ipo juu lakini wameanzishwa nao mchangani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom