Nafasi ya Spika wa Bunge CCM

Mabadilikooooo.....!! : mtayasikilizia miferejini.
 
huyo huyo alieamsha vurumai jimboni kwake kwa kupiga watu.... haya ss wabunge kazi kwenu mkawe mkawaone akina CHEKA wawafue
 
Kweli tunaisoma namba, yaani hadi speaker wa bunge tunawekewa na magamba hata kama hana sifa ila magamba wakisha amua basi hakuna awezaye kupinga. Mungu ibariki tanganyika. Yaani ndugai aongoze bunge kisa magamba wameamua? Swiss me!!!!
 
Ndugai? Na aibu zote zile za kumpiga mwenzie na rungu.Kweli CCM ni ile ile. Halafu jamaa lina tabia ya kukurupuka kama faru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…