I get you! Mnapenda kufeel secure sawa ila hilo la kila kitu trust me no one is perfect labda ungesema akuzidi mambo mengi ila sio kila kitu, no man will ever fulfill all your desires kudhani hivyo ni ndoto za mchana. Lazima kuwe na balance.Haka kamstari ka mwisho kame ‘kompliketi’ bro😂 sasa akitafta mwenza ndo atamsaidia kwenye bills? Au atamuongezea
Ndo maana mwanzo nika declare kabisa mimi hiyo ni weakness yangu huwa napenda hata kama nna kazi ina mshahara wa kawaida nifanye uhuru wa kununua vitu nyumbani bila kuwa pushed. Nahisi ni ile feminine feeling tu ya kupenda kuamini kwamba Baba anaweza au sijui ndo kudeka ndo maana nikasema kama ni mbaya labda ndo ntajirekebisha ila huwa tunapenda sana Baba wa familia atuzidi kila kitu hadi uwezo wa kufikiri yani tuna feel very secure. Unakuta kabisa nakijua kitu flani ila naskia raha nimuulize aseme haya ngoja nikuelekeze sasa. Imagine unarudi nyumbani unamkuta mwanamke anaidadavua engine ya gari kama ametengeneza yeye😂 mwanaume unajiskiaje? Au wazazi wako wamekuja mwanamke anaamka asabuhi anaongea hivi ‘ yani humu ndani nanunua sukari kilo moja haifiki siku ya pili nimechoka. Yani nanunua vyakula hamjali mnavitapanya’ inaleta picha gani kwa ndugu zako?
Believe me hii ni from the deepest part naisema tunapenda sana sana sana Mume atuzidi kila kitu! Inatufanya tuuache ungangari. Hiyo ya ku share bills ni makubaliano sasa kati ya mume na mke.
Nini maana ya kuwa na mwenza? Still kumbe wewe ni walewale tu, unajificha kwenye mbuyu, bills si swala la mwanaume peke yake. Kingine wanawake wengi hawapendi kuwa responsible simply because wanaingia kwenye ndoa wakiwa na mentality ya everything kipo responsible kwa mwanaume. Ingawa umeleta mada muhimu ila na wewe ni walewale tu.Haka kamstari ka mwisho kame ‘kompliketi’ bro😂 sasa akitafta mwenza ndo atamsaidia kwenye bills? Au atamuongezea
Nimepokea ushauri☺️😂I get you! Mnapenda kufeel secure sawa ila hilo la kila kitu trust me no one is perfect labda ungesema akuzidi mambo mengi ila sio kila kitu, no man will ever fulfill all your desires kudhani hivyo ni ndoto za mchana. Lazima kuwe na balance.
Huko ni kutaka kudekezwa sasa na inabidi uwe na balance.
Ndo maana nasema kuna sehemu tunapishana tena padogo sana sana. Labda ni neno linalotumika au ni mtazamo ila huwezi amini tunaongelea kitu kile kile.Nini maana ya kuwa na mwenza? Still kumbe wewe ni walewale tu, unajificha kwenye mbuyu, bills si swala la mwanaume peke yake. Kingine wanawake wengi hawapendi kuwa responsible simply because wanaingia kwenye ndoa wakiwa na mentality ya everything kipo responsible kwa mwanaume. Ingawa umeleta mada muhimu ila na wewe ni walewale tu.
Kama umenipata sawa, ila the way unavo swing kwenye maneno yako ndo kunanipa wasiwasi.Ndo maana nasema kuna sehemu tunapishana tena padogo sana sana. Labda ni neno linalotumika au ni mtazamo ila huwezi amini tunaongelea kitu kile kile.
Nimekusoma unaongelea nini na nimekuelewa. So hizi comments zingine zisikurudishe nyuma mkuu:
Amini I get your point 💯
Hamna itakua ni kwenye tafsiri tu but we are literally speaking the same thing.Kama umenipata sawa, ila the way unavo swing kwenye maneno yako ndo kunanipa wasiwasi.
Najua mtabisha lakini nawaambia masculine men wapo wachache sana sana sana sana na hiko ndo kinawafanya wanawake wavue gamba la unyonge waanze wao kujaribu kufanya hivyo vitu ili gurudumu liende. Wakishajaribu tayari wanaume wanakasirika wanakwambia mwanamke anataka kushindana na nature,
Mwanamke anataka kujifananisha na mwanaume. Nani kakwambia wanataka kuwa kama nyinyi?
Mnafika sehemu unakuta mhuni anamkosea heshima mwanamke mbele ya mwanaume wake, mwanaume anashindwa kustep up kwa ajili ya mwanamke wake, anakaa pembeni anasema ye hapendi shari. Hivi hapo huyo mwanamke atafanyaje kama sio kujivika vazi la umasculine na mara nyingi changamoto zinaanziaga hapo.
Maana yake mwanaume akiyashindwa hayo anayafanya mwanamke au ? Sijaelewa au na yeye anatafuta fundi ?
Wanawake kiuhalisia hawajiingizi katika upambanaji kwa sababu eti mumewe ameshindwa kutengeneza gari au ameshindwa kubadili bulb. Nyinyi mmeathiriwa na fikra za kimagharibi. Japokuwa kiukweli kuna kazi mwanaume hutakiwi kuzishindwa kama hizo ulizo zitaja.
Sisi wengine majumbani mwetu tuna tool box kabisa, tunajenga na kubomoa kabisa.
Ukiisoma hii sentensi vizuri uta elewa kubadili bulb nimetumia kama mfano tu. Kuna sehemu nimetolea hadi mfano mwanaume akikosa kazi inakuwaje.Najua mtabisha lakini nawaambia masculine men wapo wachache sana sana sana sana na hiko ndo kinawafanya wanawake wavue gamba la unyonge waanze wao kujaribu kufanya hivyo vitu ili gurudumu liende. Wakishajaribu tayari wanaume wanakasirika wanakwambia mwanamke anataka kushindana na nature,
Fikra za magharibi ni zipi? Ina maana mwanaume akishindwa kutimiza wajibu then mke akaona aokoe jahazi anakua amemuiga michelle obama au? Anakua feminist? Anakua anashindana na huyo mwanaume?
Umemaliza mkuu🤝ulichoongea ni sahihi, vijana wa siku hizi wanashindana na dada zao kufanya ngozi ziwe laini, sio kurahisisha mambo mimi naamini mwanaume aliumbwa kurahisisha mambo, hata kama hujui au haujasomea umeme ndo hata tester ndani huna, hata nyundo huna, hata kukaza msumal kwenye kitanda chako mpaka umuite fundi kah!
Kwahiyo wewe utakubali atafutwe mwanaume mwengine aje afunge bulb chumbani kwako?Naam fikra za magharibi ndio zimewaathiri sababu ukikuta mwanaume anatimiza wajibu wake, mnakuja na sababu je mume akifa ghafla utaishije ? Hili sio jukumu lako. Maana yake tunakuja kuhitimisha ya kuwa kutokutimiza wajibu ni kichaka tu, ila lengo ni wewe lazima upambane.
Lakini kwa mifano ambayo uliyo itoa kama kubadili bulb au kutengeneza gari, akishindwa mumeo lazima utamtafuta mwanaume mwingine afanye hiyo kazi, nikajua unafanya wewe. Maana ya hoja yako inakuwa haipo.
Kwahiyo wewe utakubali atafutwe mwanaume mwengine aje afunge bulb chumbani kwako?
Ukirudi ukamkuta anafunga bulb utaamini ni fundi? Huoni kama hiko mdo chanzo cha ugomvi na mwanaume atakimbilia kusema anadharauliwa na mwanamke wake.
Kwa mentality uliyonayo ni ngumu sana kunielewa nnachosema.
Nukta yangu ya msingi ipo je ni kweli sababu mnazozitaja ndizo hasa zinawafanya mpambane au kuna sababu nyingine ? Hapa ndipo ipo nukta ya mzozo.
Huko nyuma nilisema wazi shughuli ndogo ndogo kama kubadili bulb na mfano wake, kwangu mimi huwa nafanya mwenyewe na wake zangu hilo wanalijua na tools ninazo. Nachokataa mimi ni kutumia sababu za uongo kuhalalisha ukosefu wenu au upotofu wenu.
Kila mmoja ana nafasi yake katika uhalisia lakini mmoja anaposhindwa kuisimamia nafasi yake automatically huyu mwanamke itabidi aanze kujipambania mwenyewe. Sijasema hizo ndo sababu pekee zinazofanya mwanamke aone she has to step up zipo nyingi sana na hii kitu haiibuki tu out of nowhere unakuta ni kitu kimejijenga.
Mkuu, sijajua kwanini huwa unapenda sana kujizungumzia wewe na familia yako na huwa unakataa kabisa kukubali uhalisia wa wengine.Najua mtabisha lakini nawaambia masculine men wapo wachache sana sana sana sana na hiko ndo kinawafanya wanawake wavue gamba la unyonge waanze wao kujaribu kufanya hivyo vitu ili gurudumu liende. Wakishajaribu tayari wanaume wanakasirika wanakwambia mwanamke anataka kushindana na nature,
Mwanamke anataka kujifananisha na mwanaume. Nani kakwambia wanataka kuwa kama nyinyi?
Mnafika sehemu unakuta mhuni anamkosea heshima mwanamke mbele ya mwanaume wake, mwanaume anashindwa kustep up kwa ajili ya mwanamke wake, anakaa pembeni anasema ye hapendi shari. Hivi hapo huyo mwanamke atafanyaje kama sio kujivika vazi la umasculine na mara nyingi changamoto zinaanziaga hapo.
Sasa kubadili bulb sio taaluma mkuu?? Ni kitu rahisi lakini sio kila mtu anakiweza.Kubadili bulb ni taaluma au common sense?
Unabisha Bure tu ila kwenye huu uzi jamaa katoa madini sana
Tuachane na maelezo yote mkuu. Unarudi kutoka kazini unamkuta fundi anatoka bafuni kwako kubadilisha bulb 😂 bulb aisee bro unajua hata unachokibishia? Alafu Sio kuhusu bulb tu kila saa nakwambia huo ni mfano lakini mambo ni mengi mno. Tukisema tuyaongelee hapa hatutamalizaSasa kubadili bulb sio taaluma mkuu?? Ni kitu rahisi lakini sio kila mtu anakiweza.
Kuna ubaya gani fundi akaitwa kuiweka hiyo bulb??
Tatizo lenu wengi mnanasa kwenye mtego wa kua vile mwanamke anataka mwanaume wake awe na sio vile mwanaume wewe kama wewe unatakiwa uwe.
Kubadili tyre ya gari nayo ni taaluma na wanaume wengi hawawezi lakini hiyo haikuondolei wewe kua mwanaume as long as tatizo hilo una njia zako za kusolve si lazima ufunge wewe hilo tyre sijui unaelewa.
Ni ishu ya problem solving sio nguvu. Na kuna njia nyingi za kusolve tatizo moja mkuu.
Hizo ni imagination tu mkuu.Tuachane na maelezo yote mkuu. Unarudi kutoka kazini unamkuta fundi anatoka bafuni kwako kubadilisha bulb 😂 bulb aisee bro unajua hata unachokibishia? Alafu Sio kuhusu bulb tu kila saa nakwambia huo ni mfano lakini mambo ni mengi mno. Tukisema tuyaongelee hapa hatutamaliza
Siku wanaume mkikubali pia kuwa accountable kwamba na nyinyi ni part ya tatizo. Tutakua tume solve part kubwa sana ya tatizo
lakini mwanamke akiwa na msaidizi wa ndani ameshindwa majukumu yake?Hizo ni imagination tu mkuu.
Yaani bado sioni mantiki ya huo mfano wako.
Hata mafundi wa vyoo, tiles, madirisha nao huingia vyumbani mwetu kututengenezea vitu tusivyo na ujuzi navyo.
Na kama una marafiki mafundi basi ndio utajua mengi sana, sometimes ni vitatizo vidogo mno lakini mtu hana ujuzi navyo anaita fundi na wala mkewe anaejielewa hawezi kumshangaa.
Na wewe unataka mwanaume anaeweza kufunga bulb lakini mwingine hatajali imefungwa na nani bali anachotaka bulb iwake.
Wewe utataka mumeo akulinde 24/7 lakini mwingine ataajiri mlinzi Suma jkt ailinde familia yake 24/7.
Wewe utataka hizo majani hapo nje mumeo achukue fyekeo stoo afyeke lakini mwingine atata tu uwanja wake uwe safi haijalishi nani atafyeka.
Kinachotakiwa ni mwanaume aweze kusolve tatizo iwe ni kwa yeye kuiweka hiyo bulb au kwa kuita fundi aweke, kinachotakiwa ni taa iwake.
Sijui tunaelewana hapoo??
Nani kasema kua mwanamke akiwa na msaidizi basi ameshindwa majukumu, acha kunilisha maneno..lakini mwanamke akiwa na msaidizi wa ndani ameshindwa majukumu yake?
Bipolars😂 full of double standards.
Yani kaeni mjitafakari kinachowaponza ni kujiona mko sawa kwa kila mnachofanya.
Sina muda wa kukuelekeza zaidi katika hili kaza na mawazo yako walioelewa wameelewa