nafasi ya mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kila moyo wa kike kuna nafasi ya Mwanaume. Hivyo hivyo kwa Wakike

    Kama Baba usipoijaza hiyo nafasi, mtoto ataitafuta mtaani. Kama Mama hajajaza roho ya mtoto wa kiume, ataitafuta nje. Tuishi na watoto kwa upendo. Mtoto akioa ndo Mama anajiondoa. Na Mtoto akiolewa Baba kaa pembeni. Msipojiondoa kwenye urafiki wa mtoto, ndoa za watoto hazitadumu. Kwa...
  2. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kiume na nafasi ya mwanaume kwa sasa ndani ya familia zetu

    Hello jamiiforum Ni jumapili ya mwisho wa mwezi wa Kwanza mwaka 2025. Kumekucha kupambana,siyo mapambano ya kazi za kimwili,pengine ni mapambano ya kuridhisha nafsi na roho zetu. Huko makanisani kumejaa leo,wapo wanaotafuta wenza,wapo wanaotaka kuonana na mchungaji ili kunusuru ndoa zao,wapo...
  3. Billionaire101

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Mwanaume katika Jamii

    Habari ya asubuhi. Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua sababu? Unakuta mwanaume yupo ndani na mkewe, Bulb imeungua usiku mwanaume anasema anampigia fundi...
Back
Top Bottom