NAFASI YA MASOMO MWAKA 2018

NAFASI YA MASOMO MWAKA 2018

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
1,067
Reaction score
299
NAFASI ZA KUJIUNGA NA CHUO
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzanian Training Centre for International Health
(TTCIH) anawatangazia nafasi za kujiunga na chuo mwaka wa masomo 2018/2019.

TTCIH ni Taasisiya mafunzo ya Afya iliyosajiliwa na NACTE kwa usajili wa kudumu wa namba HAS/003. Chuo kinatambuliwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wazee na watoto.
Chuo kipo Ifakara mjini, Mkoani Morogoro.

Chuo kinatoa kozi zifuatazo

  1. Stashahada ya utabibu (Diploma in Clinical Medicine) – miaka mitatu
  2. Stashahada ya utabibu ya mwaka mmoja (Clinical Assistant to Clinical Officer).
  3. Diploma in Health Information Science – miaka mitatu
Chuo kina mazingira mazuri ya kujifunza ikiwepo

  • Maabara ya kisasa
  • Chuo kina madarasa mazuri na kumbi za mikutano na mafunzo
  • Maktaba ya kisasa iliyosheheni vitabu vya kiada na ziada kwa masomo yote
  • Chumba cha Kompyuta chenye Kompyuta za kisasa zilizounganishwa na mtandao kwa ajili ya kujisomea
  • Maabara ya kisasa kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo (Clinical Skills Laboratory)
  • Hospitali ya rufaa kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo
  • Viwanja vya michezo mbalimbali.
  • Chuo kina madaktari bingwa waliobobea katika fani zote zinazofundishwa (madaktari bingwa wa watoto, wanawake, macho, upasuaji, magonjwa ya ndani, huduma ya magonjwa ya dharula na fani nyingine).
  • Chuo kinafikika kirahisi kwa barabara, ndege na gari moshi (train).
Chuo kina hosteli za kisasa kwa ajili ya wana chuo wa jinsia zote, na huduma ya chakula inapatikana ndani ya chuo kwa bei nafuu.

Sifa za mwombaji kwa kozi stashahada ya utabibu (miaka mitatu)awe na:

  • Amehitimu kidato cha nne kwa ufualu wa angalau D ya Biology, Chemistry na Physics ufaulu wa Hisabati na Kiingereza itakuwa sifa ya nyongeza
Sifa za mwombaji kwa kozi stashahada ya utabibu (mwaka mmoja)awe na:

  • Awe amehitimu astashahada ya utabibu NTA level 5
  • Amehitimu kidato cha nne kwa ufaulu wa angalau D ya Biology, Chemistry au Physics
Sifa za mwombaji kwa kozi Diploma in Health Information Science- Miaka mitatu) awe na:

  • Amehitimu kidato cha nne kwa ufaulu wa angalau D ya Biology, Kiingereza, Hisabati na somo lingine lolote isipokuwa masomo ya dini.
Maombi yote ya kujiunga na chuo yameanza kupokelewa sasa, mafunzo ya kozi zote yataanza rasmi mwezi wa tisa

Fomu ya maombi ya kujiunga itapatikana katika tovuti ya chuo: www.ttcih.org au Application Form for 2018/19 Academic Year

Kwa msaada na maelekezo zaidi piga simu namba 0713 497 657 au barua pepe info@ttcih.ac.tz

KARIBU TTCIH IFAKARA KWA MAFUNZO YA UHAKIKA YENYE HADHI YA KIMATAIFA.
 
Naomba kufahamu kama watakua na intake ya mwezi March. Asante.
 
Back
Top Bottom