Kwahiyo......Makamu wa Rais huchukua u-Rais pale Rais anapokutwa na mauti.
Inaweza kubadilika, na akawa speaker kama nchi zingineMakamu wa Rais huchukua u-Rais pale Rais anapokutwa na mauti.
[emoji1] [emoji115] ni kweli Mkuu ila unakosa tu hio MamlakaMimi sijawahi kuielewa hiyo nafasi, kazi ya kukata utepe hata mimi naweza
Ndio maana yake na ndio kazi yake kubwa! Fuatilia kazi za Makamu wa Rais wa Marekani. Hana tofauti na wetu.Kwahiyo......
Makamu wa Rais ni Rais spare?
Basi sawaNdio maana yake na ndio kazi yake kubwa! Fuatilia kazi za Makamu wa Rais wa Marekani. Hana tofauti na wetu.
Nimeacha kusoma matapishi yako pale uliposema makamu wa Rais ipo kuwafurahisha waznz.. huku hujui ya kuwa kama siku Raisi akitokea znz.. kwa hivyo point yako haina mshiko...Kaisome vizuri Kariba ya JMT na muhimili wa MuunganoSalaam,
Natambua kwamba nafasi ya Makamu wa Rais imetajwa katika Sehemu ya Pill ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 47(1) nanukuu Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye ndiye atakuwa msaidizi mkuu wa rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla na hususani.
a) atamsaidia rais katika kufuatilia utekelezaji wa siku hats siku za mambo ya Muungano
b) atafanya kazi zote atakazoagizwa na rais
c) atafanya kazi zote za rais kama rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.Mwisho wa kunukuu
Tangu tuanze kuwa na makamu wa rais asiye rais wa Zanzibar pia, nafasi hiyo imekuwa mama ya kuwafurahisha watu wa Zanzibar, haina nguvu wala mvuto. Waziri Mkuu anaonekana kama anamsaidia rais vizuri na kwa ufanisi zaidi kuliko makamu wake, Ana sauti, nguvu na mamlaka.
Akitoa maagizo yanafuatwa. Kuna haja gani tena ya kuwa na makamu wa rais? Ni matumizi mabaya ya rasilimali, tunapoteza fedha. Naona ofisi ya makamu wa rais ina waziri anayeshughulika na Muungano na Mazingira.
Mazingira ni active zaidi kuliko muungano. Makamu wa Rais ni kama anapuuzwa. Fikiria kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo,anagoma kutekeleza maagizo ya bosi wake kuhusu itifaki inakuwaje?
Nafasi hii napendekeza ifutwe. PM anatosha.
Pole sana mkuu, try to be your ageNimeacha kusoma matapishi yako pale uliposema makamu wa Rais ipo kuwafurahisha waznz.. huku hujui ya kuwa kama siku Raisi akitokea znz.. kwa hivyo point yako haina mshiko...Kaisome vizuri Kariba ya JMT na muhimili wa Muungano
Angemtuma Balozi tu au Waziri wa Mambo ya Nje ingetoshaKuna mambo yanatakiwa yawepo hata kama hayana umuhimu..... lkn yanakuwa nafaida kwenye mambo ya siasa na kimaendeleo.
Mfano mdogo tu ... Makamu wa Rais amemuwakilisha mara ngapi Rais wa Jamhuri kwenye mikutano ya kimataifa ? Wakat mheshimiwa Rais akiendelea na majukumu yk ndani ....je hii siyo faida ya kuwa na ...Makamu wa Rais ..
Kuna faida nyingi ya kuwa na makam wa Rais . ..lkn haya ni mtazamo wangu tu
kule Arusha msibani hukuona kazi yake?Mimi sijawahi kuielewa hiyo nafasi, kazi ya kukata utepe hata mimi naweza
Acha kumdhalilisha mke wakoYan ht wife ambae co mfuatiliaji wa mambo ya politiki amenambia kitu hicho, aliniuiliza hivi kazi ya makamu wa raisi ni ipi mbn namuona huyu mama yy kila siku ni kufungua makongamano, maonesho, majengo nk..... mm naweza sema ni matumizi mabaya ya rasilimali za umma!