Natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea, ni Muhitimu wa Community Health

Tafuta email ya Mkapa Foundation, andaa CV inayovutia uwatumie na vyeti vyako. Watakufikiria maana wapo katika mpango wa kupeleka wafanyakazi wa afya kwa vituo vyenye changamoto


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa kujitolea nenda halmashauri yoyote ile ukiwa na barua ya kuomba nafasi ya kazi ya kujitolea, barua hiyo pia iwe na Commitment juu ya kuchukuliwa hatua pale utakapokiuka maadili ya Utumishi wa umma japo hautakua mtumishi, ielekeze kwa DMO kupitia kwa Katibu Afya wa wilaya husika.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tafuta kliniki yoyote iliyopo kijijini nenda kajitolee,using'ang'anie mjini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom