Nafasi ya kazi

masyaga

Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
16
Reaction score
9
Nahitaj wadada wanne kwa ajili ya kazi ya kusuply package za matunda kariakoo na posta

Sifa
Uwe msafi
Lugha nzur ya biashara
Elimu yoyote
Ujitoe kufanya kazi kwa moyo

Malipo ni minimum 150000 itapanda kulingana na uwezo wako wa kazi

Muda wa kazi ni kuanzia saa tano asubuh mpk saa kumi jion!!

Kama uko tayali nichek 0755957515

Mwambie nduguyo!!

Ahsante
 
wateja unao au yeye ndo awatafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…