D diva48 tz Member Joined Jan 28, 2014 Posts 33 Reaction score 1 Jan 30, 2014 #1 Habari wana JF Mimi ni mwanamke wa miaka 24. Natafuta kazi ya kuuza duka la nguo au vipodozi kwa mwenye kuhitaji msaidizi, nitafanya kazi kwa bidii na uaminifu. Nahitaji msaada wenu wadau. Nipo Dar
Habari wana JF Mimi ni mwanamke wa miaka 24. Natafuta kazi ya kuuza duka la nguo au vipodozi kwa mwenye kuhitaji msaidizi, nitafanya kazi kwa bidii na uaminifu. Nahitaji msaada wenu wadau. Nipo Dar
mbapa Member Joined Feb 4, 2014 Posts 63 Reaction score 18 Feb 5, 2014 #2 Nakushauri dada kama hujapata kazi fanya kazi nyumbani kwa juhudi zako ukiendelea kutafuta kazi.