Nafasi ya kazi ......

Nafasi ya kazi ......

kipenga

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
219
Reaction score
55
NAFASI YA KAZI .........

Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa?

1.Mshahara Tsh 600,000/= kwa mwezi.

2.Mda wa kazi kuingia saa tatu asubuhihadi saa tisa jioni.

3.Allowance 300,000/= kwa mwezi.

4.Siku za kazi Jumatatu hadi Ijumaa.

5.Usafiri na nyumba ya kuishi upo.

Sifa za muombaji:

1.Cheti cha Form 4 au Form 6, Chuo
au Diploma.

2. Hakuna uzoefu unaohitajika.

3. Umri chini ya miaka 45.

Kama unahitaji hiyo kazi, basi njoo ungana na mimi tuanze kuitafuta manake hata mimi ninatafuta sana kazi kama hiyo.. . . .
 
Mkuu,nimekuja mbio mbio nikifikiri ndio nimepata kazi kumbe dah!!
yaani mi nilikuwa nashuka chini kwa kasi nikitafuta contacts details afu nakutana na mengine kabisaa.....:A S cry::A S cry::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
 
Nyie ndio wale matapeli mnaodai hela ili mpatie watu kazi!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
duh!..niliona kama naelekea kupata bonge moja la kazi,kumbe!..
 
&#11822;[]¤>§§}%#¥&#1043;[]§><¡¡&#11822;©|||\°°+#&&*:;(())${££##%¥¥
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom