NAFASI YA KAZI

NAFASI YA KAZI

CABANA

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
422
Reaction score
557
Kuna nafasi moja ya kazi maeneo ya kawe...anahitajika mlinzi umri miaka 25 na kuendelea,,, awe na uzoefu walau miaka miwili kwenye ulinzi na asiwe anatumia kilevi chochote. Nyumba yenyewe ina geti na nyumba tatu ndani...mlinzi ana chumba chake ,choo na bafu maji yapo. Atakaye kaa hapo hapo anapewa kipaumbele zaidi na mshahara mzuri.
Elimu; kusoma na kuandika
kazi; kufungua geti, kufagia asabuhi uwanja na kulinda usiku
vigezo; awe tayari kuonyesha anapoishi wakiwemo ndugu zake na barua ya mwenyekiti wa serikali wa mtaa, kitambulisho cha taifa [NIDA] ni lazima. si lazima awe kwenye kampuni za ulinzi, yeyote yule mwanaumme mwenye nguvu anaweza kufanya kazi hii.
NJOO PM nikupe maelekezo,,, kwa ambaye yuko serious tu!!!!
 
We shusha madini na mshahara tuku connect na watu hyo but kwa njia hyo ya pm huwezi kupata mtu
 
Kilevi chochote hakiruhisiwi inamaana nitapata wapi mori bila kula ugoro???
 
no co mimi ..ila kuna jamaa yupo tayar kwa kaz hyo

Ngoja nicheke hahahahahahhaaaha hahahahahahahhahahah hahahahahahahahahaha hahahahahhahahahahha hahahahahhahahahahhh hahahahahahahahahhaha dah akiiya nani vyumaaa vimekazaaa mnoooo
 
Kuna nafasi moja ya kazi maeneo ya kawe...anahitajika mlinzi umri miaka 25 na kuendelea,,, awe na uzoefu walau miaka miwili kwenye ulinzi na asiwe anatumia kilevi chochote. Nyumba yenyewe ina geti na nyumba tatu ndani...mlinzi ana chumba chake ,choo na bafu maji yapo. Atakaye kaa hapo hapo anapewa kipaumbele zaidi na mshahara mzuri.
Elimu; kusoma na kuandika
kazi; kufungua geti, kufagia asabuhi uwanja na kulinda usiku
vigezo; awe tayari kuonyesha anapoishi wakiwemo ndugu zake na barua ya mwenyekiti wa serikali wa mtaa, kitambulisho cha taifa [NIDA] ni lazima. si lazima awe kwenye kampuni za ulinzi, yeyote yule mwanaumme mwenye nguvu anaweza kufanya kazi hii.
NJOO PM nikupe maelekezo,,, kwa ambaye yuko serious tu!!!!
Kama wa mkoani utakuja kupaona nyumbani kwao...
Tatizo hujataja mshahara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom