ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,265
- 4,452
Kijana wa kitanzania mwenye ujuzi ufuatao:
Ukimuhitaji Ni PM
- Lugha:Ana uwezo kuzungumza na kuandika kiingereza.Kuandika mipango ya biashara,kuaanda nyaraka tenda,kuandaa mikataba,kutafsiri kiingereza na kiswahili,Kufundisha kiswahili na kiingereza,Kuandika vitabu vya kufundisha kishwahili na kiingereza,kuandaa mitaala ya kufundisha kozi mbalimbali.
- Kompyuta:Ana uwezo wa kutumia Windows,Mac and Linux.Ana uwezo wa kutumia Microsoft Office.Ana uwezo wa kutumia Program za accounting,Ana uwezo wa kutengeneza websites,html,php etc.Ana uwezo kuaanda web content kwa kiingereza na kiswahili.Ana ujuzi wa kutumia Cpanel na kuset up mail clients n.k.Ana uwezo wa kurepair Computer hardware na Software,Ana uwezo kufanya networking,ana uwezo wa kufunga CCTV camera.Ana uwezo wa kufundisha hivyo vyote
- Management:Ana uwezo wa kuendesha ofisi za aina mbalimbali kama vile,Chuo Cha Veta,Webhosting Company,Tour and Travel Agent,na huduma nyinginezo
- Skills nyingine ni kama vile:ufundi wa magari,udereva,welding na Carpentry na masonry.
Ukimuhitaji Ni PM