Sema unataka mke? Miaka 25 na kuendelea ndiyo muda muafaka wa kuchumbiana ndiyo maana hata mshajara umeweka kwenye mabano ( bed payment)Vipi kuhusu chura... sio sifa ya muhimu?
Mtu mzima wa hivyo yupo ila sasa wewe haupo waaz. Unalipaje? Unakaa wapi? Familia yako ikoje? Unataka aliyeolewa au asiyeolewa???Habarini.
Nahitaji mfanyakazi wa nyumbani.
Sifa.
*Awe mtu mzima kuanzia miaka 25 na kuendelea.
*Awe na hulka na kupenda watoto.
*Awe mchapakazi.
*Awe na afya njema.
*
-Kazi ni ya kwenda na kurudi.
-Mshahara ni maelewano ila pia unaweza kuongezeka kulingana na ufanisi wa kazi.
Aliye na sifa taajwa tuwasiliane kwa mtandao huu.
Wajinsia gani au yeyoteHabarini.
Nahitaji mfanyakazi wa nyumbani.
Sifa.
*Awe mtu mzima kuanzia miaka 25 na kuendelea.
*Awe na hulka na kupenda watoto.
*Awe mchapakazi.
*Awe na afya njema.
*
-Kazi ni ya kwenda na kurudi.
-Mshahara ni maelewano ila pia unaweza kuongezeka kulingana na ufanisi wa kazi.
Aliye na sifa taajwa tuwasiliane kwa mtandao huu.
Wa kike.Wajinsia gani au yeyote
Awe ameolewa ama hajaolewa sio tatizo.Mtu mzima wa hivyo yupo ila sasa wewe haupo waaz. Unalipaje? Unakaa wapi? Familia yako ikoje? Unataka aliyeolewa au asiyeolewa???
Awe ameolewa ama hajaolewa sio tatizo=hainaga ushemela.
Naishi ubungo kibangu=wa dar.hayo mengine njoo PM.
Uko wapi nije mieHabarini.