Nafasi ya kazi za Kazi Security Group (T) ltd.

Nafasi ya kazi za Kazi Security Group (T) ltd.

Joined
Oct 3, 2013
Posts
10
Reaction score
8
Kampuni ya ulinzi ya Security Group inatangaza nafasi za kazi ya ulinzi kwa wenye sifa zifuatazo;

1. Lazima awe raia wa Tanzania
2. Umri kuanzia miaka 21 hadi 35
3.
Elimu kidato cha nne ambaye amepitia JKT (kwa aliyepitia JKT peke yake kama anazungumza kiingereza atapewa kipaumbele.
4. Awe anazungumza Lugha ya Kiingereza kwa ufasaha
5.
Urefu kuanzia Futi sita na kuendelea

Mahali pa kufanyia kazi ni Zanzibar, lakini mafunzo (training) itafanyikia Dar Es Salaam, hivyo waombaji wanaotoka nje ya mkoa wa Dar Es Salaam wanatakiwa wawe na wenyeji au mahali pa kukaa Dar Es Salaam kwa kipindi cha training (mafunzo).

Barua za maombi zitumwe kwa;

MENEJA MWAJIRI

SECURITY GROUP (T) LTD

P.O.BOX 9390,
DAR ES SALAAM

Au kwa maelezo zaidi piga simu hii; +255 784 781 525

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/11/2013
 
Haya fresh graduates, fursa hiyo. Omba kazi bila kuweka vyeti vya chuo. Cha form 6 kinatosha. Ukilinda kwa balozi ama mkurugenzi wa shirika, make sure unampokea bag kila siku na kumuuliza kizungu how was your day sir? Any challenges today? Afu hakikisha anakuona unasoma vitabu . Akishakuwa curious na wewe akikuuliza muambie mie graduate na sijapata kazi. Utaona kitakachotokea.

Namaanisha sio lazma kila mtu aanzie ofisi yenye kiyoyozi!
 
naomba mkishawaajiri hao vijana muwafanyie vetting ya kueleweka na close supervision. Makampuni mengi ya security siku hizi ndio yanayoongoza kulalamikiwa kwa wizi. Wafanyakazi wanalipwa ujira mdogo na mwisho wanaishia kuiba mali za wanaowalinda. Mifano ipo ila am sparing them for now.
 
Sijapitia mgambo wala JKT ila sifa zingine ninazo, je naweza ku-apply?
 
Haya fresh graduates, fursa hiyo. Omba kazi bila kuweka vyeti vya chuo. Cha form 6 kinatosha. Ukilinda kwa balozi ama mkurugenzi wa shirika, make sure unampokea bag kila siku na kumuuliza kizungu how was your day sir? Any challenges today? Afu hakikisha anakuona unasoma vitabu . Akishakuwa curious na wewe akikuuliza muambie mie graduate na sijapata kazi. Utaona kitakachotokea.

Namaanisha sio lazma kila mtu aanzie ofisi yenye kiyoyozi!
umeongea bonge la point
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom