Nafasi ya kazi ya umeneja

Nafasi ya kazi ya umeneja

beko

Senior Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
191
Reaction score
92
NAFASI YA KAZI YA UMENEJA
Anatafutwa meneja wa kusimamia mradi wa kusaga nafaka Dar es salaam. Kazi yake kubwa itakua kusimamia uzalishaji pamoja na mauzo
1. Awe na Elimu ya Kidato cha Nne au cha sita
2. Awe na uzoefu ya kazi hiyo . (Maize milling, packaging, & selling) kwa muda wa miaka miwili
Kwa yeyote mwenye sifa hizo, tuma CV yako kwa barua pepe kwenda joemi.investment@gmail.com
Mwisho wa kupokea maombi ni Tarehe 30 December 2015
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom