Mkuu si unajiongeza unatumia mwanya huo kupaki magari ya watu usiku hukosi elfu kumi kwa sikuShilingi elfu tano kwa siku hahahahaa unaonaje ukilinda mwenyewe?
Mambo mengine upuuzi tu yaan mtu mzima ung'atwe na mbu mwezi mzima kwa laki 1 na nusu? Bora utafute eneo ulime bustani itakulipa, utakua huru, utapata muda wa kufanya mambo yako mengi, utapumzika vizuri na familia yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata hawa SUMA JKT unawaona wanalipwa hiyo hoyoShilingi elfu tano kwa siku hahahahaa unaonaje ukilinda mwenyewe?
Mambo mengine upuuzi tu yaan mtu mzima ung'atwe na mbu mwezi mzima kwa laki 1 na nusu? Bora utafute eneo ulime bustani itakulipa, utakua huru, utapata muda wa kufanya mambo yako mengi, utapumzika vizuri na familia yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Suma wanalipwa laki 2.Mkuu hata hawa SUMA JKT unawaona wanalipwa hiyo hoyo
Suma wanalipwa laki 2.
Wanakatwa bima 20,000 wanapokea 180,000
Kiukweli wanalipwa pesa ndogo sana serikali iangalie namna ya kuwatetea maana 180,000 inakua ngumu sana hata mtu kununua kitanda cha kuanzia maisha
hahahaaaa silaha mara nyingi unajiongeza tuu.
Mkuu, hiyo hela ni ndogo?“Kivuri sikuzote kinamsahaulisha mtu”, Nakusihi usikufuru mungu tena ikiwa bado unaishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimezungumzia walinzi walioajiriwa na Suma jkt.Ina maana hawa walinzi wanaolinda bank Na sehemu nyingine ndo Suma jkt...mbona wanalipwa kidogo
Suma jkt hana bima. Mshahara 160 overtime 20 mfuko wa jamii 10 take home 170Suma wanalipwa laki 2.
Wanakatwa bima 20,000 wanapokea 180,000
Kiukweli wanalipwa pesa ndogo sana serikali iangalie namna ya kuwatetea maana 180,000 inakua ngumu sana hata mtu kununua kitanda cha kuanzia maisha
Inawezekana chanzo changu cha taarifa kilinipotosha [emoji23][emoji23]Suma jkt hana bima. Mshahara 160 overtime 20 mfuko wa jamii 10 take home 170
Nimezungumzia walinzi walioajiriwa na Suma jkt.
Ina maana huwajui walinzi wa suma jkt? Uniforms zao zimeandikwa Suma jkt.
Iwe analinda benki au popote ilimradi kaajiriwa na Suma basi mshahara ni hyo laki 2.
Na sio wote unaowaona wanalinda benki basi wameajiriwa na Suma jkt, wengine ni kutoka makampuni mengine ya ulinzi angalia uniforms zao tu