nafasi ya kazi ya udereva wa daladala.

nafasi ya kazi ya udereva wa daladala.

Joined
Dec 12, 2012
Posts
40
Reaction score
6
anatafutwa dereva mzoefu wa daladala. sifa ; -class driving lisence ambayo ishafanyiwa renewal mara moja au zaidi.
 
Mimi naihitaji niko sawa nina mwaka wa 4 naendrsha gari za aina hizo pamoja na gari za mzigo leseni yangu ina class A,B,C na D ya mwaka 2008 nipo zanzibar ila niko tayari kufanya kazi popote na mkoa wowote
 
Leseni hizi mpya hazina hata mwaka! Utapata wapi aliye<renewal kwa sasa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom