Nafasi ya kazi ya Ualimu

Mimi nipo hapa ifakara jana nilimtega tu kuwa ipo ifakara sehem gani jibu lake liliniacha njia panda kidgo maana hataki kusema shule inaitwaje na ipo sehem gan na kijiji gani je ipo kibaoni,ujenzi,kapolo,maendeleo,kining'ina,tazara, lumemo,kivukoni, au ndo huko miwangani,maana ifakara ni mji unapotoka nje ya mji hapo n wilaya ya kilombero au mlimba huko
 
Tangazo analificha ficha au ni dalali wa ajira
 
Nina dogo yeye Kiswahili na literature,nimsogeze?
 
kunguru muoga hukimbiza ubawa wake, jana tu kuna mtu kalalamika kuhusu kutapeliwa na yule mtunzi wa hadithi za kijasusi tuwe makini asije lia mtu huko pm maana mwisho wa mwaka huu wakulungwa wanahitaji 'assist'.
 
Upo sahihi kwa asilimia kubwa lakini ngoja sasa nifafanue Kitu ambacho kimefanya Tangazo liwe hivyo
 
Kama wanamaliza Mkataba waô inahusiana na nini kwèñye tangazo kutokuweka Jina la Shule, email address ya shule au ya director Watu watume Maombi.

Unàtaka kuniambia anataka kuwafanyia ambush?
 
Kama wanamaliza Mkataba waô inahusiana na nini kwèñye tangazo kutokuweka Jina la Shule, email address ya shule au ya director Watu watume Maombi.

Unàtaka kuniambia anataka kuwafanyia ambush?
Sio ambush tu ni ambush haswa
Japo kuna sababu nyingi zaidi ambazo sitoziweka wazi
 
Fafanu kifurushi Cha bima.isijekuwa hivi vibima uchwara vya dawa ya Panadol na paracetamo
 
Hii ni shule kAMAa ni ile st.flani nliyoiskiaaa na sista wenu mwenye roho mbaya kama ya paka ni bora angeolewa,au UMUOE tu
Au we ndio bwana ake kakutuma, na kisa ulicho andika cha kuwanyima mkataba sicho kabisa, ETI WANAFANYA KAZI KIMAZOEA? Na ufaulu ukawa mzuri mbona husemei ufaulu we takataka WEWE NI MPUMBAVU NA HUYO MKE WAKO weka mambo wazi WAZI ,

Sista wa kanisa na roho yake mbaya Na ALVYO MBAYA KAMA ROHO YAKE, angekuwa mama angeua mume na Watt wake wote..pyumbaf...
 
Hebu funguka zaid mkuu utuokoe wahanga
 
Yes ni hiyo hiyo na tunataka kufagia haswaaa
 
Yes ni hiyo hiyo na tunataka kufagia haswaaa
Mbona umefuta original post..mjinga mmoja wewe
Hiko kilaki sita ndio cha kuwatesea watumishi wa hapo,,shenzi wewe na sista Hawara yako ..mkiwa chumbani msome huu ujumbe wewe na yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…