Nafasi ya kazi ya kuuza kwenye store ya nafaka

bullbar

Senior Member
Oct 21, 2014
148
126
natafuta kijana aliemaliza form four kwa ajili ya kuuza store ya nafaka na unga wa mahindi.
location ni makongo juu na asiwe na umri uliozidi miaka 25 na jinsia iwe ya kike

contact..0755416980
0658416980
 
yupo wa kike anajielewa mcha mungu anakufaa sana sema aliishia la saba ila ni mwelewa hutojuta kumpata
 
natafuta kijana aliemaliza form four kwa ajili ya kuuza store ya nafaka na unga wa mahindi.
location ni makongo juu na asiwe na umri uliozidi miaka 25 na jinsia iwe ya kike

contact..0755416980
0658416980
Vipi umeshampata mkuu?Yupo msichana anatafuta kazi ana miaka 19 naamini atakufaa.Ni mtoto wa jirani yangu kama ukimhitaji cheki kupitia no 0712484858.
 
Back
Top Bottom