Habari, wanajf
Rejea kichwa cha habari juu, Fursa kwa mtu mwenye taaluma yeyote nchini awe kijana wa umri kati ya miaka 18-30 anaejitambua mwenye ueledi, uelewa na nidhamu kwa ujumla.
Nafasi hii ya Kazi kwa yeyote mwenye elimu ngazi ya stashahada au shahada ya mafunzo yeyote mshahara ni dola 400$ kwa muda wa mwezi mmoja,gharama za maradhi, chakula na matumizi muhimu kwa mwajiriwa ni juu ya mwajiri.
Pia kuhusu gharama za kwenda mwajiriwa Inabidi ajigharamie nauli na visa awe na passport.
Kwa Maelezo na taarifa zaidi
Piga :0711633656 au 0746848506
iPhone 6s
Kazi kulingana na taaluma yk.halafu huo mshahara ni kiwango cha chini means inaweza kuwa zaidi kulingana na Kazi ykAise, fursa hii jaman!
Sahamani lakini, ni kazi gani inayoenda kufanywa huko? kwasababu mara nyingi huwa tunafananisha kazi na kipato.
Hahahahaaaaa.....yeye anaona kawaida eti....bora kukomaa bongo tuNilitaka nianze kuifatilia hiyo kaz lakini avatar yako mtoa mada imenishtua kidogo sijui unaweza kunitoa hofu.
Toa ufafanuz vizur mkuu, kazi gani? Au kwenye kampuni gani? Je mwenye certificate hawez kwenda?Habari, wanajf
Rejea kichwa cha habari juu, Fursa kwa mtu mwenye taaluma yeyote nchini awe kijana wa umri kati ya miaka 18-30 anaejitambua mwenye ueledi, uelewa na nidhamu kwa ujumla.
Nafasi hii ya Kazi kwa yeyote mwenye elimu ngazi ya stashahada au shahada ya mafunzo yeyote mshahara ni dola 400$ kwa muda wa mwezi mmoja,gharama za malazi, chakula na matumizi muhimu kwa mwajiriwa ni juu ya mwajiri.
Pia kuhusu gharama za kwenda mwajiriwa Inabidi ajigharamie nauli na visa awe na passport.
Kwa Maelezo na taarifa zaidi
Piga :0711633656 au 0746848506
iPhone 6s
Astashahada, stashahada,shahada wote mnaweza kwenda kutegemea na taaluma yakoToa ufafanuz vizur mkuu, kazi gani? Au kwenye kampuni gani? Je mwenye certificate hawez kwenda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaijua UAE vizuri kweli?UAE unamaaniaha United Arab Emirates au??? Kama ni huko bora niendelee kuisoma namba tu nisubiri vi-wonder...
Kama ni kifo bora kinikute hapa home kuliko kukifuata kwa maharamia huko...
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
UAE,wanahusika na nn?Habari, wanajf
Rejea kichwa cha habari juu, Fursa kwa mtu mwenye taaluma yeyote nchini awe kijana wa umri kati ya miaka 18-30 anaejitambua mwenye ueledi, uelewa na nidhamu kwa ujumla.
Nafasi hii ya Kazi kwa yeyote mwenye elimu ngazi ya Astashahada, stashahada au shahada ya mafunzo yeyote mshahara ni kati ya dola 400$ kwa muda wa mwezi mmoja,gharama za malazi, chakula na matumizi muhimu kwa mwajiriwa ni juu ya mwajiri.
Pia kuhusu gharama za kwenda mwajiriwa Inabidi ajigharamie nauli na visa awe na passport.
Kwa Maelezo na taarifa zaidi
WhatsApp au sms:0711633656 au 0746848506

Okay, yaani nimemaanisha zile gharama za muhimu za kila siku Kama :Kwa gharama za kuishi zilivyo juu UAE huu mshahara ni mdogo sana. Hizo gharama za kuishi za mwajiriwa ambazo zitalipwa na mwajiri mbona huziweki wazi Mkuu? Atakaa kwa mwajiri na kula chakula anachokula mwajiri? Funguka ili watu wakuelewe.