Nafasi ya kazi UAE

Nafasi ya kazi UAE

smy

Senior Member
Joined
Jul 7, 2017
Posts
163
Reaction score
126
Habari, wanajf
Rejea kichwa cha habari juu, Fursa kwa mtu mwenye taaluma yeyote nchini awe kijana wa umri kati ya miaka 18-30 anaejitambua mwenye ueledi, uelewa na nidhamu kwa ujumla.

Nafasi hii ya Kazi kwa yeyote mwenye elimu ngazi ya Astashahada, stashahada au shahada ya mafunzo yeyote mshahara ni kati ya dola 400$ kwa muda wa mwezi mmoja,gharama za malazi, chakula na matumizi muhimu kwa mwajiriwa ni juu ya mwajiri.

Pia kuhusu gharama za kwenda mwajiriwa Inabidi ajigharamie nauli na visa awe na passport.

Kwa Maelezo na taarifa zaidi
WhatsApp au sms:0711633959 au 0742858500

iPhone 6s
 
Habari, wanajf
Rejea kichwa cha habari juu, Fursa kwa mtu mwenye taaluma yeyote nchini awe kijana wa umri kati ya miaka 18-30 anaejitambua mwenye ueledi, uelewa na nidhamu kwa ujumla.
Nafasi hii ya Kazi kwa yeyote mwenye elimu ngazi ya stashahada au shahada ya mafunzo yeyote mshahara ni dola 400$ kwa muda wa mwezi mmoja,gharama za maradhi, chakula na matumizi muhimu kwa mwajiriwa ni juu ya mwajiri.
Pia kuhusu gharama za kwenda mwajiriwa Inabidi ajigharamie nauli na visa awe na passport.
Kwa Maelezo na taarifa zaidi
Piga :0711633656 au 0746848506

iPhone 6s

$ 400 mkuu mbona ndogo sana?? hata hapa bongo ukikomaa unazipata tu hizo gawila mkuu wangu
 
Hii ni kwa wahitaji tu ndugu yangu, sio lazima uwe ww kuna mwingine anataka kubadili lifestyle ya maisha na mazingira

iPhone 6s
 
Aise, fursa hii jaman!

Sahamani lakini, ni kazi gani inayoenda kufanywa huko? kwasababu mara nyingi huwa tunafananisha kazi na kipato.
 
Kazi kulingana na taaluma yk.halafu huo mshahara ni kiwango cha chini means inaweza kuwa zaidi kulingana na Kazi yk

iPhone 6s
 
UAE unamaaniaha United Arab Emirates au??? Kama ni huko bora niendelee kuisoma namba tu nisubiri vi-wonder...

Kama ni kifo bora kinikute hapa home kuliko kukifuata kwa maharamia huko...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Habari, wanajf
Rejea kichwa cha habari juu, Fursa kwa mtu mwenye taaluma yeyote nchini awe kijana wa umri kati ya miaka 18-30 anaejitambua mwenye ueledi, uelewa na nidhamu kwa ujumla.
Nafasi hii ya Kazi kwa yeyote mwenye elimu ngazi ya stashahada au shahada ya mafunzo yeyote mshahara ni dola 400$ kwa muda wa mwezi mmoja,gharama za malazi, chakula na matumizi muhimu kwa mwajiriwa ni juu ya mwajiri.
Pia kuhusu gharama za kwenda mwajiriwa Inabidi ajigharamie nauli na visa awe na passport.
Kwa Maelezo na taarifa zaidi
Piga :0711633656 au 0746848506

iPhone 6s
Toa ufafanuz vizur mkuu, kazi gani? Au kwenye kampuni gani? Je mwenye certificate hawez kwenda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: smy
UAE unamaaniaha United Arab Emirates au??? Kama ni huko bora niendelee kuisoma namba tu nisubiri vi-wonder...

Kama ni kifo bora kinikute hapa home kuliko kukifuata kwa maharamia huko...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Mkuu unaijua UAE vizuri kweli?
 
Habari, wanajf
Rejea kichwa cha habari juu, Fursa kwa mtu mwenye taaluma yeyote nchini awe kijana wa umri kati ya miaka 18-30 anaejitambua mwenye ueledi, uelewa na nidhamu kwa ujumla.
Nafasi hii ya Kazi kwa yeyote mwenye elimu ngazi ya Astashahada, stashahada au shahada ya mafunzo yeyote mshahara ni kati ya dola 400$ kwa muda wa mwezi mmoja,gharama za malazi, chakula na matumizi muhimu kwa mwajiriwa ni juu ya mwajiri.
Pia kuhusu gharama za kwenda mwajiriwa Inabidi ajigharamie nauli na visa awe na passport.
Kwa Maelezo na taarifa zaidi
WhatsApp au sms:0711633656 au 0746848506

iPhone 6s
UAE,wanahusika na nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: smy
Kwa gharama za kuishi zilivyo juu UAE huu mshahara ni mdogo sana. Hizo gharama za kuishi za mwajiriwa ambazo zitalipwa na mwajiri mbona huziweki wazi Mkuu? Atakaa kwa mwajiri na kula chakula anachokula mwajiri? Funguka ili watu wakuelewe.

Okay, yaani nimemaanisha zile gharama za muhimu za kila siku Kama :
1.hifadhi
2.chakula
3.tiba ikitakiwa

iPhone 6s
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom