Nafasi ya kazi Secretary

Elisha Chuma

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
275
262
Kuna ofisi inahitaji Secretary
Elimu kuanzia diploma.
Miaka kati ya 22 - 34
Awe na uelewa mzuri wa lugha ya Kiswahili na Kingereza ( kusoma, kuandika na kuongea )
uwezo mzuri wa kutumia computer (microsoft office )
Eneo la kazi ni Dar es Salaam.
Tuma maombi ambatanisha na CV tu.
Mwisho wa kutuma maombi ni 29 March 2021.

aplication244@gmail.com
 
hamna jina la kampuni
hamna videzo vinaeleweka
hata kama tuna shida ya kazi not to this extent aiseee hata kma una kazi tangazeni vizuri mtu akisoma aelewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…