WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,425
- 1,431
Wakuu natafuta production technician aliye na Diploma au degree ya Food science,food processing,Chemistry,Microbiology,hata km ni mwalim lakini umesomea chemistry na Biology tuma tu.Fresh from school are highly encouraged to apply
Atume barua na CV yake kupitia hr@nei-ltd.com
Kwa information zaidi soma hii attachment.Interview intaanza wiki ijayo
Angalizo:
Sihitaji PM yoyote au mawasiliano yoyote nje ya Tangazo,fuata maelekezo yaliyoandikwa kwenye tangazo
Kila la heri wakuu