Nafasi ya Kazi lodge

Nafasi ya Kazi lodge

Joined
Oct 18, 2015
Posts
12
Reaction score
3
Tunahitaji kijana wa Kazi za lodge ,vigezo ni awe anajua kusoma na kuandika ,na ni asiwe na umri uliozidi miaka 23,pia msafi kwa ujumla .Lodge ipo airport karakata na bagamoyo. Kwa mawasiliano zaidi piga no,ifuatayo 0623725742
 
weka kazi atakazofanya huko kazini, mbona wabongo wagumu
 
Mkuu tuletee JD a.k.a mchanganuo wa majukumu na pakee husika!
 
Asiwe na umri unaozidi miaka 23 ,kwahyo siku akifikisha miaka 25 mnamtoa baruu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom