Nafasi ya kazi kwa mdada

Nafasi ya kazi kwa mdada

LIZZYBETTY

Member
Joined
Jul 23, 2015
Posts
48
Reaction score
8
Anaitajika mdada wa saloon upande wa kufanya scrub na masaji eneo la kazi ni changombe aliye ni experience na kazi hii mshahara ni 150000 0657746049
 
Mm naitaji ila cna experience na Kaz Ila naenda Kaz na nipo jiran na changombe nitapata ?
 
Anaitajika mdada wa saloon upande wa kufanya scrub na masaji eneo la kazi ni changombe aliye ni experience na kazi hii mshahara ni 150000

Si ungeweka mawasiliano kurahisisha walengwa kuwasiliana nawe direct mkuu.

All the best mamitto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom