Nafasi ya kazi kwa kada ya Civil Engineering

Nafasi ya kazi kwa kada ya Civil Engineering

Gallius

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
1,999
Reaction score
8,356
Anahitajika mtu aliyesoma kozi ya CIVIL ENGINEERING.

Nafasi: Moja (1)

Jinsia: KE

Kwa aliye interested anitumie namba yake ya simu kwa mawasiliano zaidi.

Deadline: Ni leo saa nane mchana

Location: Dar es salaam

Nafungua PM, kupokea namba ya simu, Mtu wa kwanza kutuma namba ya simu ndio atapewa hiyo kipaumbele.

Ahsanteni.
 
Hawataki CV wanataka namba tu na awe mwanamke daah sisi wanaume tuliosoma civil engineering kazi tunayo
 
Hawataki CV wanataka namba tu na awe mwanamke daah sisi wanaume tuliosoma civil engineering kazi tunayo
Ndio mkuu namba tu, na awe mkaaji wa dar es salaam, na pia awe vizuri kwenye structural engineering.

Na tumefanya hivi kwa sababu ya gender balance katika kazi ila kama una mdada unamfahamu na yuko dar naomba unipe namba yake nifunge mjadala mapema.

Leo PM yangu iko wazi, na tumebakiwa na dakika 18 kufunga huu mjadala.

Ahsante
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anahitajika mtu aliyesoma kozi ya CIVIL ENGINEERING.

Nafasi: Moja (1)

Jinsia: KE

Kwa aliye interested anitumie namba yake ya simu kwa mawasiliano zaidi.

Deadline: Ni leo saa nane mchana

Location: Dar es salaam

Nafungua PM, kupokea namba ya simu, Mtu wa kwanza kutuma namba ya simu ndio atapewa hiyo kipaumbele.

Ahsanteni.
Kiongozi nafasi itakapopatikana naomba unikumbuke, Hali ya mtaa ni ngumu sana.
 
Back
Top Bottom