Habari za leo Mabwana na Mabibi husika na kichwa Cha Habari tunatoa pikipiki za mkataba kwa ma dreva Boda boda wanao hitaji pikipiki. Tunapatikana kariakoo Dar es salaam
Heading haiendani na thread, inaleta mkanganyiko kidogo...
Kwakua umeweka tangazo hapa, basi huna budi kuweka na utaratibu / maelezo yote hapa hapa kwa uwazi kila mtu aone ili kuepusha fikra au mawazo hasi juu yenu.
Siku hizi, hizi biashara zimegubikwa na wimbi kubwa sana la utapeli, wengi wamepigwa, mimi mwenyewe nilikoswa koswa kugeuzwa victim.
Hakuna kazi hapo, hapo wanatoa pikipiki za mkataba kwa madereva bodaboda. Kwahiyo bodaboda ndio atawafanyia wao kazi kwa kuwalipa hesabu mliyokubaliana katika kipindi chote cha mkataba, baada ya hapo unakabidhiwa rasmi pikipiki ndio ataanza kujifanyia kazi yeye kama yeye kama yeye maana kashamaliza kifungo ( mkataba ).