hbi
JF-Expert Member
- Feb 6, 2011
- 678
- 298
Habari, msishangae kurudia hili tangazo. Mtu aliyekua amepatikana mwanzo amepata dharura binafsi na kushindwa kuanza kazi hivyo imetulazimu kutafuta mtu mwingine.
Kuhusu P2P Delivery Company:
Tunatoa huduma ya kusafirisha nyaraka na vifurushi ndani ya jiji la Dar es salaam.
Tunahitaji "Delivery Driver" atakayekua anafanya kazi ya kusafirisha vifurushi vya wateja kutoka sehem moja kwenda sehem nyingine ndani ya Dar es salaam.
Vigezo:
Kama unakidhi vigezo hapo juu, tafadhali tuma ujumbe kwenda namba 0658123748 ukijibu maswali yafuatayo.
Angalizo: Mafuta na gharama za ufundi wa chombo cha usafiri utagharamiwa na ofisi.

- Uwe na leseni halali, kama hauna na unweza kuendesha pikipiki vizuri unaweza kuwasiliana nasi pia tukazungumza namna ya kukutafutia leseni. Ila kipaumbele kitatolewa kwa wale wenye leseni tayari.
- Uwe na uwezo wa kuhudumia wateja, ikiwa ni pamoja na nidhamu na kauli nzuri kwa wateja.
- Uwe na uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha.
- Mwenyeji wa jiji la Dar es salaam na anayejua maeneo vizuri.
- Uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa.
- Uwezo wa kubeba bidhaa za gharama na ambazo zinaweza kuvunjika kwa urahisi.
- Mwenye nidhamu na uwezo wa kufanya kazi na watu wengine.
- Asiwe na rekodi za uhalifu au makosa ya jinai.
Kama unakidhi vigezo hapo juu, tafadhali tuma ujumbe kwenda namba 0658123748 ukijibu maswali yafuatayo.
- JINA LAKO KAMILI.
- UMRI WAKO na MAHALI UNAPOISHI.
- JIBU NDIYO kama unayo LESENI na HAPANA kama hauna leseni.
- KIWANGO UNACHOTEGEMEA KULIPWA KWA WIKI au KWA MWEZI.
Angalizo: Mafuta na gharama za ufundi wa chombo cha usafiri utagharamiwa na ofisi.