Nafasi ya kazi: Clearing Agent

Nafasi ya kazi: Clearing Agent

kingjohn255

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
403
Reaction score
520
Kampuni ya JOEX Worldwide inawatangazia watanzania wote wenye vigezo na sifa kutuma maombi yao kuanzia leo hadi Oct 20,2023

Kazi : Clearing Agent
Idara: Operational

Vigezo Cheti / Diploma ya clearing pamoja na awe amesoma kozi ya CFFPC inayotolewa na chuo Cha Kodi na awe amepata Cheti

Umri miaka 18-50
Dini: Yoyote

Jinsia: Zote (Wenye ulemavu watapewa kipaumbele)
Namna ya kutuma maombi, Tuma CV yako pamoja na copy zako kwenye email: josephariagroup@yahoo.com
Au leta maombi yako ofsini kwetu Mikocheni Shopez Plaza

Muda: Kuanzia saa 0800 Hadi 1700
Mawasiliano +255 (0) 719 263 074

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii coz ina watu kweli jamani ata walio soma law inafaa ni mambo ya document
 
Back
Top Bottom