NimeshakuPM mkuuHabari!
Chemical technician anatafutwa kusaidia shughuli za kiwanda.
Kama upo hapa. Njoo PM
Asante.
Ngoja tuliosoma na JPM tuombeHey wakemia, kwamba hamjaona hii fursa? au wote tayari mna kazi zenu
Mimi ni coroshow technician ukiona nafasi zetu nitag pleaseHey wakemia, kwamba hamjaona hii fursa? au wote tayari mna kazi zenu
mkuu ongeza nyama kwenye huu uzi..........Habari!
Chemical technician anatafutwa kusaidia shughuli za kiwanda.
Kama upo hapa. Njoo PM
Asante.
mkuu, hajaweka hata mchanganuo wa majukumu, eneo la kazi, jina la kampuni.........Hey wakemia, kwamba hamjaona hii fursa? au wote tayari mna kazi zenu
ohooo, Pakistani tena?, ngoja tumsubiri afafanue vzrmkuu, hajaweka hata mchanganuo wa majukumu, eneo la kazi, jina la kampuni.........
anataka kuleta nini huyu? au kiwanda kipo pakistani?
Nani kasemaWaliosomea science humu jf wako wachache wengi wanakazi zao
duuh, hizo ni ngumu kupatikana maana kwa sasa zinashughulikiwa na maafande, pole yako technician rudi tu ukasomee wawese sasaMimi ni coroshow technician ukiona nafasi zetu nitag please
nashangaa kwanini hamchangamkii fursa, aisee sijui kwanini niliikimbia Chemistry maana ningejipatia hii kazi kirahisi no stiff competition arrghNgoja tuliosoma na JPM tuombe
mmmhh nikimaliza alafu upepo nao ukabadilika nitarudi tena kusomea nini?duuh, hizo ni ngumu kupatikana maana kwa sasa zinashughulikiwa na maafande, pole yako technician rudi tu ukasomee wawese sasa
Jodeo ,tangazo lako linahang , ebu jazia minyama hiyoMBONA TANGAZO HALIJAKAMILIKA
SIONI;,
-job description
-Location
-Company name
-Vacvancies available
-How to apply
-Deadline
-Required qualifications
, usijali enzi hizo upepo utakua umetulia mkuummmhh nikimaliza alafu upepo nao ukabadilika nitarudi tena kusomea nini?
unaweza kusoma QT na kureseat science subjectsnashangaa kwanini hamchangamkii fursa, aisee sijui kwanini niliikimbia Chemistry maana ningejipatia hii kazi kirahisi no stiff competition arrgh
mkuu, unanitaki mema kweli na menopause hii nikareset tena science subjects duuh, nikshamaliza kusoma na umri wa kustaafu utakua ushafika = 0unaweza kusoma QT na kureseat science subjects
Ngoja nisitie neno hapomkuu, unanitaki mema kweli na menopause hii nikareset tena science subjects duuh, nikshamaliza kusoma na umri wa kustaafu utakua ushafika = 0