NAFASI YA GPA KUBWA KATIKA KUOMBA AJIRA

NAFASI YA GPA KUBWA KATIKA KUOMBA AJIRA

mmolh

Member
Joined
Apr 27, 2019
Posts
16
Reaction score
1
Wanajamii hv gpa ina nafasi gan katika swala zima la kuomba ajira na interview kwa ujumla na ukizingatia swala la ushindani kwa sasa
 
Hiyo ilikuwa kipind cha nyuma. Kwa saaa watu wanaangalia experience.. na uwezo wako kwenye field
 
Hizi nafasi za ualimu ambazo unatuma vyeti tuu hata picha yako hawioni unadhani wanaangalia nin?????

Unatuma vyeti toka fom 4 mpaka chuo kikuu unafikili gpa hawangalii, division toka o level mpaka a level je, somo unalofundishia ufaulu wake


Vitu kama hivoo lazima waangalie, kwani hawana kingine cha kuaangalia zaidi ya hikoo
 
GPA kubwa baadae sana...

Muhimu ni namna gani utakavyojibu hayo maswali na kuonesha uwelewa wako kwenye hicho ulichokiomba...


Cc: mahondaw
 
Kuna baadhi ya ofisi unatakiwa uwe na 3.5 above ndio utaitwa kwenye Interview
 
Back
Top Bottom